Maafisa wa Uganda wanajiandaa kupeleka chanjo ya majaribio kama sehemu ya juhudi ... Mlipuko wa sasa wa Marburg katika mkoa wa Kagera kaskazini mwa Tanzania umesababisha vifo vya watu wawili ...
Picha na Hadija Jumanne Dar es Salaam. Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu ...
Aidha, amesema taarifa hiyo ya TMA iliyataja maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Morogoro, Kigoma, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga yanatarajiwa kuwa na mvua za wastani hadi chini ya ...
Siku tatu baada ya kuteuliwa na Mkuu wa Nchi, Félix Tshisekedi, Meja Jenerali Evariste Kakule Somo amehamia Beni, kaskazini mwa mkoa wa Kivu Kaskazini, Ijumaa hii, Januari 31. Kutokana na kuwepo ...
Wakati nilipoingia kwa mara ya kwanza katika mji wa Goma ... Lakini watu wengi bado wana wasiwasi wakihofia uwezekano wa kurejea kwa mapigano katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar na kuishusha Simba. Kurejea kwa Yanga kileleni ...
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
Shirika la Associated Press limeripoti kuwa katika taarifa yake kwa umma leo Jumamosi, Februari Mosi, 2025, wizara hiyo imesema mashambulizi hayo yamefanyika usiku kucha maeneo mbalimbali ya mkoa wa ...
“Tunaona maendeleo makubwa katika ujenzi wa Shule ya Mkoa ya Sekondari ya Bweni ya Wasichana ya Manchali, ambayo itahudumia Watanzania wote,” alieleza Dk. Biteko. Aidha, serikali imewekeza zaidi ya ...
Nyota huyo raia wa Uganda alisajiliwa na Kagera Sugar msimu huu akitokea KCCA ya nchini kwao alikodumu msimu mmoja. Tanzania inakuwa nchi ya nne kucheza soka baada ya Uganda (KCCA na URA), Kenya ...