(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria na kisera za kutosha zinazohitajika katika kulinda haki ya wasichana wajawazito na wamama vijana ya kupata elimu na kurekebisha miaka ya ...
(Nairobi) – Ndoa za utotoni ndani ya Tanzania inapunguza upatikanaji wa eliumu kwa wasichana na inawaweka hatarini kupata madhara makubwa, Human Rights Watch imesema kwenye ripoti iliyotolewa leo.