Matokeo yake endapo yangeipa Uganda ushindi ,yangebadilisha kabisa ramani ya afrika mashariki ... za Uganda zikashambulia makao makuu ya mkoa wa Kagera, mjji wa Bukoba. Licha ya kwamba mashambulio ...
Hivi karibuni serikali ya Tanzania ilithibitisha watu watano kati ya wanane kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya homa ya Marburg katika mkoa wa Kagera, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.